1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Pikipiki zinazotumia umeme Mombasa Kenya, faida na changamoto ni zipi?

04:04

This browser does not support the video element.

21 Septemba 2023

Uimarishaji wa teknolojia na mabadiliko ni mambo yanayoshuhudiwa katika kila sekta ikiwemo usafiri wa bodaboda. Mjini Mombasa baadhi ya waendesha pikipiki wameshaanza kutumia pikipiki zinazotumia umeme. Je faida na changamoto zake ni zipi? Hebu tizama kisha utupe maoni yako.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW