1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Plea awaliza Bayern Munich

01:15

This browser does not support the video element.

9 Oktoba 2018

Mchezaji wa Gladbach Alassane Plea anaendelea kufunga magoli na hata baada ya mechi dhidi mabinghwa Bayern Munich. Raia huyo wa Ufaransa mwenye asili ya Mali alipiga daluga lililomfanya mlinda lango Neuer akamate upepo. Zaidi mtazame katika vidio ya kila Jumatatu.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW