JamiiUlayaPoland na Belarus zavutana kuhusu wahamiaji00:59This browser does not support the video element.JamiiUlayaSylvia Mwehozi10.11.202110 Novemba 2021Mvutano unaongezeka baina ya Poland na Belarus kuhusu wimbi la wahamiaji waliopiga kambi mpakani mwa nchi hizo mbili wakijaribu kuingia Ulaya kutokea Belarus. #kurunziNakili kiunganishiMatangazo