SiasaPolisi aliyemuua mwandamanaji ahukumiwa DRC27.02.201827 Februari 2018Mahakama ya kijeshi kaskazini magharibi mwa DRC imemhukumu kifungo cha maisha jela afisa wa polisi aliyefyatua risasi na kumuua mmoja wa wandamanaji wanaompinga rais Joseph Kabila. Polisi mwingine kufikishwa mahakamani.Nakili kiunganishiPicha: Reuters/G. TomasevicMatangazoJ2.27.02.2018 Kifungo jela - MP3-StereoThis browser does not support the audio element.