Polisi Kenya kuwashitaki wanasiasa wachochezi01:40This browser does not support the video element.14.06.201614 Juni 2016Papo kwa Papo 14.06.2016: Polisi Kenya yawachunguza wanasiasa 7 kwa tuhuma za kueneza uchochezi wa chuki, serikali ya Ufaransa yasema mauaji ya polisi na mpenziwe ni shambulio la kigaidi na katika EURO 2016 Italia yailaza Ubelgiji mabao 2-0Nakili kiunganishiMatangazo