Polisi waua waandamanaji KenyaAlfred Kiti24.05.201624 Mei 2016Watu watatu wameuawa baada ya kukabiliana na polisi katika maandamano ya kupinga Tume ya Uchaguzi IEBC. Viongozi wa upinzani wamelaani mauaji hayo na muungano tawala umesema uko tayari kwa mazungumzo.Nakili kiunganishiPicha: Getty Images/AFP/T. KarumbaMatangazo[No title]This browser does not support the audio element.Polisi akirusha gesi ya machozi kutawanya waandamanaji NairobiPicha: Reuters/T. Mukoya Vizuizi vya barabarani vyawaka moto Naiobi kwenye maandamano ya kupinga IEBCPicha: Getty Images/AFP/C. de Souza Polisi wa kuzuia ghasia katika mitaa ya NairobiPicha: Reuters/T. Mukoya