1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Polisi yatawanya waandamanaji kwa gesi ya machozi Msumbiji

01:36

This browser does not support the video element.

7 Novemba 2024

Polisi ya Msumbiji imetumia nguvu ikiwemo gesi ya kutoa machozi kuwatawanya waandmanaji wanaounga mkono upinzani, wakipinga matokeo ya uchaguzi yaliokipa ushindi chama tawala Frelimo. Upinzani umeitaja siku hii kuwa ni "uhuru" kwa taifa hilo linaloongozwa na chama hicho kwa takriban miaka 50

Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Vidio ya habari na matukio

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW