JamiiPopo yatima wapata hospitali maalumu Australia00:48This browser does not support the video element.JamiiYusra Buwayhid15.02.201915 Februari 2019Popo wachanga waliopoteza mama zao baada ya kung'atwa na kupe wanahudumiwa masaa ishirini na nne katika hospitali ya Tolga Bat nchini Australia. Na wakishajiweza, wanaachiliwa huru kuishi maisha yao misituni nchini humo. Nakili kiunganishiMatangazo