1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Prof. Janabi: Kenya haina mlipuko wa Ebola

10:12

This browser does not support the video element.

8 Oktoba 2026

Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani, WHO, kanda ya Afrika, Prof. Mohammed Janabi amesema Kenya haina mlipuko wa Ebola hata baada ya mtu mmoja kupoteza maisha kutokana na maradhi hayo.

Ruka sehemu inayofuata Zaidi kutoka kipindi hiki
Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Kurunzi

Kurunzi ni video fupi ya DW Kiswahili inayomulika na kufafanua habari, matukio au masuala muhimu kwa lugha rahisi, picha zinazovutia na maelezo yanayomsaidia mtazamaji kuelewa kwa haraka.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW