1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

PSG waadhibiwa na Lille

15 Aprili 2019

Mabingwa watarajiwa wa Ufaransa Paris Saint Germain watasubiri kwa muda zaidi kuzawadiwa kombe la ubingwa wa nchini humo.

Thilo Kehrer
Picha: Imago/DeFodi/H. Langer

Hii ni baada ya kupewa kipigo kikali cha mabao 5-1 na Lille katika mechi iliyochezwa Jumapili.

Licha ya kibano hicho PSG bado wapo kileleni wakiwa na pointi 81, pointi 17 mbele ya Lille walio kwenye nafasi ya pili wakiwa na pointi 64.