1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
Uchumi

Punguzo la mshahara lafanya polisi waache kazi

19 Machi 2018

Vyombo vya habari Kenya vinaripoti kuwa baadhi ya maafisa wa polisi wenye shahada ya chuo kikuu wamechukua hatua hiyo baada ya Kamishina mkuu wa jeshi la polisi kutekeleza maelekezo ya tume ya utumishi ndani ya jeshi.

Polisi Kenya
Picha: Reuters/T. Mukoya

MMT J3_19.03.2018-MWENDA POLICE SALARY - MP3-Stereo

This browser does not support the audio element.

Lengo ni kupunguza mishahara ya maafisa wa jeshi hilo weneye shahada ili ilingane na maafisa wasio na shahada. DW imezungumza na Mwenda Njoka, msemaji wa wizara ya mambo ya ndani nchini humo kupata ufafanuzi juu ya hatua hiyo ya kupunguza mishahara.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW