1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Puntland yasitisha uhusiano wake na serikali ya Somalia

6 Agosti 2013

Mkoa unaojitawala wenyewe Somalia, Puntland umesema umesitisha uhusiano wake na serikali kuu ya taifa hilo kwa kuituhumu kukataa pendekezo la kugawana madaraka na serikali kuu ya Somalia.

Puntland eneo linalotawaliwa na Somalia
Puntland eneo linalotawaliwa na SomaliaPicha: DW

Sudi Mnette amezungumza na Mbunge Hussein Bantu aliyeko Mogadishu na kwanza alitaka kujua hatua hiyo wameipokeaje? Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.

Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri: Mohammed Abdul-Rahman

Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi

Gundua zaidi

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW