SiasaRaia wa marekani wanaongoza kwa kumiliki bunduki duniani00:53This browser does not support the video element.SiasaSudi Mnette19.06.201819 Juni 2018Ripoti inayotolewa kila mwaka na shirika angalizi kuhusu silaha ndogo imesema kuna bunduki bilioni moja kote ulimwenguni, zikiwemo milioni 857 zilizoko mikononi mwa raia, huku raia wa Marekani wakiwa wamiliki wa bunduki nyingi.Nakili kiunganishiMatangazo