1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaRomania

Raia wa Romania wapiga kura katika uchaguzi wa rais

Saleh Mwanamilongo
24 Novemba 2024

Wapiga kura wa Romania wapiga kura Jumapili kumchagua rais wao mpya baada ya rais wa sasa kuhitimisha mihula yake mbili madarakani.

Raia wa Romania wapiga kura katika uchaguzi wa rais wenye ushindani mkubwa
Raia wa Romania wapiga kura katika uchaguzi wa rais wenye ushindani mkubwaPicha: DANIEL MIHAILESCU/AFP via Getty Images

Wapiga kura wa Romania wapiga kura leo Jumapili kumchagua rais wao mpya. Waziri Mkuu Marcel Ciolacu wa chama cha Social Democratic Party (PSD) anatarajiwa kuongoza kwenye duru ya kwanza, lakini hata hivyo matokeo hayatabiriki. Kura ya maoni kabla ya uchaguzi ilionyesha kuwa huenda waziri mkuu Ciolacu akabiliana kwenye duru ya pili ya uchaguzi na George Simion wa chama cha mrengo mkali wa kulia. Wagombea 14, wengi wao wakiwa mawazi wakuu wa zamani, wanashiriki uchaguzi huo. Na duru ya pili itaitishwa mnamo mnamo wiki mbili.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW