JamiiUlayaRaia wa Ukraine wazidi kukimbia nchi02:21This browser does not support the video element.JamiiUlaya07.03.20227 Machi 2022Umoja wa Mataifa unasema watu zaidi ya milioni 1.5 wamekimbia Ukraine. Umeielezea hali hiyo kama mgogoro wa wakimbizi unaokua kwa kasi zaidi barani Ulaya tangu vita vya pili vya dunia. Zaidi ya watu milioni moja wamevuka hadi Poland pekee. #kurunzi Nakili kiunganishiMatangazo