Raila Odinga kuungwa mkono na chama cha KANU katika uchaguzi ujao
14 Septemba 2012Matangazo
Jambo hilo limezusha mjadala katika siasa za taifa hilo na hasa katika kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu.
Kutoka Nairobi Sudi Mnette amezungumza na mchambuzi wa siasa za taifa hilo, Prof. Macharia mhadhiri wa chuo kikuu cha kimataifa cha kimarekani nchini Kenya na kwanza alimuuliza kauli ya mwenyekiti wa KANU, Gideon Moi ina lengo gani?
(Kusikiliza mazungumzo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini).
Mwandishi: 'Sudi Mnette
Mhariri: Othman Miraji