SiasaRais Jacob Zuma wa Afrika Kusini akubali kujiuzulu00:29This browser does not support the video element.SiasaYusra Buwayhid13.02.201813 Februari 2018Sikiliza taarifa rasmi ya chama tawala nchini Afrika Kusini cha African National Congress (ANC) ikithibitisha uamuzi wake wa kumfukuza kazi Rais wa nchi hiyo Jacob Zuma. Papo kwa Papo 13.02.2018.Nakili kiunganishiMatangazo