Rais Joseph Kabila ziarani Kivu Kaskazini20.09.200720 Septemba 2007Rais Joseph Kabila alifanya ziara ya ghafla hapo jana katika eneo tete la Kivu Kaskazini ambako mapigano kati ya wanajeshi na waasi yamesababisha watu 90,000 kukimbia makaazi yao.Nakili kiunganishiRais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya KongoPicha: AP PhotoMatangazo