Rais Kabila afanya mazungumzo na makamanda wa Jeshi Mashariki mwa Kongo
11 Aprili 2012Matangazo
Mazungumzo hayo yanafuatia uasi uliojitokeza jeshini mwishoni mwa juma lililopita. Wakati huo huo, rais wa Kongo waliokimbilia Uganda baada ya kuripuka kwa mapigano wameanza kurejea nyumbani. Mwandishi wetu John Kanyunyu anayo taarifa zaidi kutoka Goma.
(Kusikiliza taarifa hiyo bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini)
Mwandishi: John Kanyunyu
Mhariri: Mohamed Abdulrahman