SiasaRais Kenyatta alihutubia taifa02:40This browser does not support the video element.SiasaGrace Kabogo13.11.202013 Novemba 2020Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta alihutubia taifa na kuwapongeza wahudumu wa afya kwa mchango wao kwenye vita dhidi ya COVID-19, janga ambalo lilianza wakati uchumi wa Kenya ulikuwa unaimarika kwa 5.4% tangu mwaka 2019. Nakili kiunganishiMatangazo