Rais Kikwete achukua fomu kugombea urais kupitia Chama cha Mapinduzi
2 Agosti 2010Matangazo
Mwenyekiti wa chama tawala cha mapinduzi CCM nchini Tanzania , Rais Jakaya Kikwete leo amekuchukua fomu ya kuwania kiti hicho kwa kipindi kingine cha miaka mitano katika mkuu uchaguzi utakaofanyika mwezi Oktoba. Hatua hiyo ilianza jana ambapo wagombea watatu, kutoka vyama vya TPP Maendeleo, TLP na kile cha Mchungaji Christopher Mtikila cha DP walijitokeza kuchukua fomu hizo.
Mwandishi wetu George Njogopa ametutumia taarifa ifuatayo kutoka Dar es Salaam
Mwandishi, George Njogopa
Mpitiaji, Peter Moss
Mhariri, Abdul-Rahman Mohamed