SiasaRais mpya wa Somalia aahidi kushughulikia ugaidi 02:19This browser does not support the video element.Siasa10.06.202210 Juni 2022Rais mpya wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud, aapa kukabiliana na ugaidi katika nchi hiyo ilnaokumbwa na mzozo. Ameirai jamii ya kimataifa kusaidia kupambana na njaa kali nchini mwake.Nakili kiunganishiMatangazo