1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Mugabe atangaza tarehe ya uchaguzi mkuu

26 Januari 2008

HARARE: Rais wa Zimbabwe,Robert Mugabe ametangaza kuwa uchaguzi mkuu utafanywa tarehe 27 mwezi Machi,akigombea kubakia madarakani kwa awamu ya sita.Kwa mujibu wa tangazo la serikali,uchaguzi huo utafanywa siku moja baada ya kulivunja bunge mjini Harare.

Chama kikuu cha upinzani MDC kilichokuwa na majadiliano na chama cha Rais Mugabe juu ya muundo wa uchaguzi ujao,kimepinga hatua hiyo lakini hakijatoa wito wa kususia uchaguzi.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW