Rais Mwai Kibaki wa Kenya avunja Bunge22.10.200722 Oktoba 2007Huko Kenya Rais Mwai Kibaki wa nchi hiyo amelivunja bunge na kufungua njia ya kufanyika uchaguzi mkuu ingawa bado tarehe ya uchaguzi huo haijatangazwa.Nakili kiunganishiRais Mwai Kibaki wa Kenya amelivunja BungePicha: APMatangazoKutoka Nairobi mwandishi wetu Mwai Gikonyo ametutumia taarifa ifuatayo.