1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais Nkurunziza aapishwa leo

26 Agosti 2010

Nchini Burundi,Rais Pierre Nkurunziza anaapishwa rasmi hii leo mjini Bujumbura kwa muhula wa pili wa uongozi.

Rais Pierre NkurunzizaPicha: picture alliance / dpa

Hatua hii inafanyika baada ya uchaguzi wa marais kufanyika mwezi wa Juni.Itakumbukwa kuwa wanasiasa wa upinzani waliususia uchaguzi huo war ais kwa madai kwamba vitendo vya udanganyifu na hila vilikuwa tayari vimeshaandaliwa.

Mpiga kura wakati wa uchaguzi wa rais wa mwezi Juni.Upinzani uliususia uchaguzi huoPicha: AP
Ruka sehemu inayofuata Gundua zaidi