1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rais wa Afghjamnistan Hamid Karzai ausihi Umoja wa ulaya uendelee kuisaidia kifedha nchi yake

11 Mei 2005

Rais Hamid Karzai wa Afghhanistan ameuomba umoja wa ulaya uendelee kuisaidia nchi yake kwa muda mrefu zaidi.Akihutubia mbele ya bunge la ulaya mjini Strassbourg,rais Karzai amesema nchi yake inakabiliana na mitihani mikubwa na inataraji itaendelea kupokea misaada kutoka Ulaya.Kiongozi huyo wa Afghanistan amewasili Brussels jana usiku kwa ziara ya siku tatu ambapo hii leo amepangiwa kuzungumza na madhamana wa jumuia ya kujihami ya magharibi NATO,viongozi wa taasisi za umoja wa ulaya na serikali ya Ubeligiji.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW