Rais wa Botswana kula kiapo chake
27 Oktoba 2014Matangazo
Chaguzi za bunge la mabaraza ya miji zilifanyika ijumaa iliyopita, wabunge ndio waliomchagua rais. Kutoka mjini Johannesburg Sudii Mnette amezungungumza na mwandishi habari Issac Khomo, kwanza alimuuliza kujua uchaguzi huo utakuwa na funzo gani katika demokrasia ya Afrika. Kusikiliza mahojiano hayo bonyeza kitufe cha kusikilizia hapo chini.
Mwandishi: Sudi Mnette
Mhariri:Yusuf Saumu