1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaUrusi

Ursula von der Leyen aanza ziara kuelekea Amerika Kusini

12 Juni 2023

Rais wa Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya Ursula von der Leyen ameanza ziara kuelekea mataifa manne ya Amerika Kusini

Tschechien Prag | Pressekonferenz Ursula von der Leyen
Picha: Lukas Kabon/AA/picture alliance

Von der Leyen atakutana na marais wa Brazil, Argentina, Chile na Mexico, na ajenda kuu itakuwa makubaliano ya biashara yaliyoanza mwaka 2019 na mataifa hayo lakini yalisitishwa kwa kiasi kikubwa kutokana na wasiwasi juu ya ukataji miti katika msitu wa Amazon.

Umoja wa Ulaya umekuwa ukitafuta washirika wa kibiashara

Tangu Urusi ilipoivamia Ukraine, Umoja wa Ulaya umekuwa ukitafuta washirika wengine wa kibiashara wanaoweza kuwapatia madini muhimu yanayohitajika ili kufanikisha wakati wa mpito kuelekea matumizi ya nishati safi na pia kupunguza utegemezi wake kwa taifa la China.

 

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW