1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SiasaVenezuela

Rodriguez: Venezuela haijatishwa na Marekani

9 Januari 2026

Rais wa muda wa Venezuela, Delcy Rodriguez, amesisitiza kwamba nchi yake haina hofu yoyote, licha ya madai ya Rais wa Marekani Donald Trump kwamba anaiongoza Venezuela baada ya kumuondoa mtangulizi wake, Nicolas Maduro.

Kushoto Rais Donald Trump wa Marekani na kulia Rais wa Venezuela Delcy Rodriguez
Kushoto Rais Donald Trump na kulia Rais wa Venezuela Delcy RodriguezPicha: Mandel Ngan/Yuri Cortez/AFP

Akizungumza katika hafla ya kuwakumbuka Wavenezuela 100 ambao serikali yake inadai waliuawa katika shambulio la Marekani amesema hawajawa chini ya mamlaka ya mtu na wala hajatishwa. Rodriguez aliongeza kwamba siku ambayo majeshi ya Marekani yalifanya mashambulizi dhidi ya taifa lake, Januari 3, hakuna aliyejisalimisha, na kulikuwa na mapambano ya kulinda taifa.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW