Sheria na HakiAmerika ya Kaskazini
Trump kutoa ushahidi juu ya udandanyifu wa mali zake
6 Novemba 2023Matangazo
Mashtaka yanayomkabili Trump katika kesi hiyo yanagusa mali na biashara zake alizozijenga kwa miongo.
Soma pia:Vikao vya kusikiliza kesi za kumzuia Trump asigombee vyaanza
Kufikika mahakamani leo kwa Trump huenda pia kukawa ni mwanzo wa kile ambacho kiinaweza kuamuwa juu ya mustakabali wake katika uchaguzi wa mwaka 2024 ikiwa atateuliwa na chama chake cha Republican kugombea urais