Rais Yoweri Museveni wa Uganda azungumza na Waandishi wa habari mjini Kampala
23 Julai 2007
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema anaunga mkono mazungumzo yanayoendelea mjini Mogadishu,Somalia ya koo za kisomali kutafuta suluhisho la kudumu nchini humo.
Matangazo
Akizungumza na waandishi wa habari mwishoni mwa juma mjini Kampala, rais Museveni pia alizungumzia maswala mengine muhimu.
Mwandishi wetu Omar Mutasa anaripoti kutoka Kampala.