Cyril Ramaphosa, ameapishwa kwa muhula mpya kama rais iliyofanyika mjini Pretoria. Hatua hiyo ni baada ya chama chake cha African National Congress (ANC) kufikia makubaliano ya kuunda serikali ya umoja wa kitaifa.
Kurunzi ni video fupi ya DW Kiswahili inayomulika na kufafanua habari, matukio au masuala muhimu kwa lugha rahisi, picha zinazovutia na maelezo yanayomsaidia mtazamaji kuelewa kwa haraka.