JamiiRebecca: Msichana aliyegundua programu ya kuchagua vyuo03:53This browser does not support the video element.Jamii07.03.20257 Machi 2025Rebecca ni msichana aliyebuni programu tumizi kwa ajili ya kuwasidia watu kuchagua vyuo kutokana na ufaulu. Programu hii inalenga kuwasaidia wanafunzi na watu wanaotaka kujiunga na vyuo vikuu kutafuta fursa kulingana na matokeo yao. #msichanajasiriNakili kiunganishiMatangazo