Riadha-Mbio za marathon za Roma
18 Machi 2007Matangazo
Na hatimae riadha:
Chelimo Kemboi wa Kenya ameibuka na ushindi wa mbio za 13 za marathon za Roma hii leo akitumia saa mbili dakika 9 na sekondi 36.Amempita kwa sekondi 36 Jose Manuel Martinez wa Hispania huku nafasi ya tatu ikishikiliwa na raiaq mwengine wa Kenya, Jonathan Kosegei kwa saa mbili dakika kumi na sekondi 25.