1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Riga. Latvia wachagua bunge jipya.

7 Oktoba 2006

Wananchi wameanza kupiga kura nchini Latvia, ambako wapiga kura wanachagua bunge jipya.

Kura ya maoni hivi karibuni inaelekeza ushindi kwa vyama vya mrengo wa kati kulia ambavyo vinaunda serikali ya sasa ya wachache.

Huu ni uchaguzi wa kwanza wa bunge nchini Latvia tangu taifa hilo la eneo la Baltic kuingizwa katika umoja wa Ulaya miaka miwili iliyopita.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW