Ripoti ya shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu kuhusu virusi vya HIV
16 Desemba 2008
Watoto kiasi cha elfu 40 wako katika hatari ya kufariki katika kipindi cha miezi 24 ijayo ikiwa hawatapata madawa ya kupunguza makali ya virusi vya HIV.
Matangazo
Hayo yametangazwa leo katika ripoti ya shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch mjini Nairobi nchini Kenya.