Ripoti ya tume ya kitaifa ya kutetea haki za binadamu kuhusu mauaji ya watu wa wafuasi wa kundi la Mungiki nchini Kenya
24 Septemba 2008Matangazo
Zaidi ya washukiwa 300 wanaripotiwa kuuawa kikatili kwa mujibu wa ripoti hiyo.Kikosi cha polisi nchini Kenya kimeshtumiwa vikali na ripoti hiyo ya Tume ya Kutetea haki za binadamu.Kundi la Mungiki lilipigwa marufuku baada ya kutekeleza mauaji ya kiholela nchini humo hivi karibuni.Polisi kwa upande wake umekanusha vikali madai ya ripoti hiyo.
Alfred Kiti kutoka Nairobi anaarifu zaidi.