ROME: Hali ya baba mtakatifu hairidhishi
31 Machi 2005Matangazo
Baba mtakatifu yohana paulo wa pili analishwa kupitia bomba la puaniili kuharakisha uponaji wake baada ya kufanyiwa oparesheni ya koo lake.
Kwa mujibu wa msemaji wa makao ya Vatican bomba hilo linatumiwa ili kuimarisha kizio cha joto kutokana na chakula anachokula baba mtakatifu,
Baba mtakatifu alifanyiwa upasuaji mwezi uliopita ili kumsaidia kuvuta pumzi.