1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
HistoriaAfrika

Rudolf Manga Bell: Mfalme wa Cameroon aliyesimama dhidi ya ukoloni wa Ujerumani

02:37

This browser does not support the video element.

Yusra Buwayhid
14 Februari 2021

Mfalme Rudolf Douala Manga Bell wa Cameroon alisoma Ujerumani na kuupenda sana ustaarabu wa taifa hilo. Lakini baadae alikosana nao pale wakoloni wa Kijerumani walipoanza kuwanyanyasa watu wake. Mwishowe, walimnyonga kwa kupigania haki za watu wake.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW