1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Rushwa ndani ya chama cha CCM nchini Tanzania

22 Oktoba 2007

Katibu mkuu mstaafu wa chama kinachotawala nchini Tanzania cha CCM Bwana Philip Mangula amezungumza kuhusu tatizo la rushwa ndani ya chama cha mapinduzi.

Bwana Mangula ameyasema hayo wakati alipokuwa anazindua mdahalo wa kitaifa wa wadau wa habari nchini Tanzania.

Mwandishi wetu Hawra Shamte aliyehudhuria uzinduzi huo ametutumia ripoti ifuatayo.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW