Rwanda: Hatutamkamata Omar al Bashir14.07.201614 Julai 2016Katika mkutano wa Umoja wa Afrika unaofanyika Kigali, Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda, Louise Mushikiwabo, ametangaza nchi yake haiko tayari kumkamata Rais wa Sudan atakapohudhuria kikao cha marais.Nakili kiunganishiPicha: picture-alliance/dpa/T. HaseMatangazo[No title]This browser does not support the audio element.