Rwanda yaingia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa
4 Januari 2013
Licha ya kutuhumiwa kuwaunga mkono waasi katika nchi jirani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Rwanda imeuanza mwaka 2013 ikiwa mjumbe wa muda wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, tukio linaloonekana kituko.
Matangazo
Sekione Kitojo anazungumza na wachambuzi wa siasa za Afrika na kimataifa juu ya Rwanda kuchukua nafasi kwenye Baraza hilo la Usalama.