JamiiRwanda yatumia drones kupambana na corona03:09This browser does not support the video element.JamiiAmina Abubakar22.04.202022 Aprili 2020Jeshi la polisi Rwanda linatumia ndege ndogo zisizokuwa na rubani drones kwa ajili ya kuwahamasisha wananchi kuheshimu hatua za kubakia nyumbani. Tizama video yake Janvier Popote namna ndege hizo zinavofanya kazi mjini Kigali. #KurunziNakili kiunganishiMatangazo