Saa yapoteza thamani
15 Machi 2012![Saa kama kito cha thamani na chombo cha kujulia wakati.](https://static.dw.com/image/15795279_800.webp)
Matangazo
Lakini sasa, mabadiliko ya ulimwengu yanaishuhudia matumizi ya saa kama pambo na hata mashine yakishuka. Je, sababu ni nini? Katika makala hii ya Vijana Mchakamchaka, Bruce Amani anazungumzia ilipokwenda thamani ya saa miongoni mwa rika la vijana wa sasa. Kusikiliza makala hii, tafadhali bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Makala: Vijana Mchakamchaka
Mada: Kupotea kwa thamani ya saa
Mtayarishaji/Msimulizi: Bruce Amani
Mhariri: Othman Miraji