Wakati Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) ikitoa wito wa kuundwa kwa serikali ya umoja wa kitaifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mgombea aliyetangazwa kushika nafasi ya pili, Martin Fayulu wa muungano wa upinzani wa LAMUKA, anasema serikali imetuma wanajeshi kuzunguka makao makuu ya chama chake mjini Kinshasa. Kurunzi 14.01.2019