JamiiSafari ya hatari Ukerewe Tanzania02:33This browser does not support the video element.JamiiSudi Mnette28.11.201728 Novemba 2017Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Bwiro iliyopo kisiwani Ukerewe wanalazimika kutumia mtumbwi usiyo na vifaa vya kuwakinga na ajali kila siku wanapokwenda na kutoka shule, hali hii inatokana pia na ukosefu wa mabweni kwa wanafunzi wa shule hiyoNakili kiunganishiMatangazo