Salaam za Idd El Hajj
31 Oktoba 2011
Matangazo
Msikilizaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle, katika wakati kama huu tunakukaribisha ututumie salaam zako za kusherehekea sikukuu ya Idd El Hajj kwa ndugu na marafiki kwa njia ya Email au hata facebook. Fanya hima!!