1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW

Samia Suluhu Hassan aapishwa kuwa rais wa Tanzania

03:25

This browser does not support the video element.

19 Machi 2021

Leo Ijumaa (19/03/2021 ) ni mara ya kwanza tangu kuasisiwa kwa taifa la Tanzania Rais mwanamke anaapishwa kuwa Rais wa nchi hiyo ya Afrika ya Mashariki, aliekua makamo wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ameapishwa kuwa rais baada ya kufariki kwa John Pombe Magufuli.

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW