JamiiSamuel Eto'o atafuta sifa ndani na nje ya uwanja01:29This browser does not support the video element.JamiiSaleh Mwanamilongo14.01.202214 Januari 2022Mmoja wa wachezaji bora barani Afrika, Samuel Eto'o sasa ni rais wa Shirikisho la Soka la Cameroon. Anaorodha kubwa ya kufanya huku nchi yake ikiwa mwenyeji wa Kombe la Mataifa ya Afrika. Nakili kiunganishiMatangazo