1. Nenda kwenye maudhui
  2. Nenda kwenye orodha kuu
  3. Nenda tovuti zaidi za DW
SafariTanzania

Sanaa ya kuchora na musiki katika kuokoa wasichana

04:07

This browser does not support the video element.

1 Desemba 2023

Sanaa ni lugha ambayo huwakusanya watu tofauti na kuelewana katika hisia za pamoja, Angel anaamua kutumia sanaa ya muziki na uchoraji katika kuelezea hisia binafsi na kuwaelimisha wengine. Je amefanikiwa katika hili? Tazama video na Mitchelle Ceaser

Ruka sehemu inayofuata Kuhusu kipindi

Kuhusu kipindi

Picha: Hawa Bihoga/DWPicha: Hawa Bihoga/DW

Msichana Jasiri

Kipindi hiki kinakupa fursa ya kusikia ujasiri wa msichana na mchango mkubwa anaoufanya katika jamii. Msichana Jasiri ni muwazi, ana upendo na yuko tayari kujitoa kuwahudumia wengine. Ni shujaa!

Ruka sehemu inayofuata Taarifa kuu ya DW

Taarifa kuu ya DW

Ruka sehemu inayofuata Taarifa zaidi kutoka DW